: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Germany through to final 16 after 1-0 win over Northern Ireland
  Jun21

  Germany through to final 16 after 1-0 win over Northern Ireland

  A first half goal from Mario Gomez was enough for Germany to ease past Northern Ireland with a 1-0 win. Poland has also qualified from Group C with a 1-0 win over Ukraine. …read more Source:...

  EU to extend Russia economic sanctions for another six months
  Jun21

  EU to extend Russia economic sanctions for another six months

  European Union envoys have agreed to prolong their bloc’s economic sanctions against Russia for six months. The bans are aimed at curbing Russia’s influence in eastern Europe, particularly in Ukraine. …read more Source:...

  EU extends sanctions on Crimea for another year
  Jun17

  EU extends sanctions on Crimea for another year

  The European Union has extended for a year sanctions on Crimea, which Russia illegally annexed from Ukraine in 2014. Next week the bloc is set to vote on extending sanctions on Russia. …read more Source:...

  Ukraine takes offense at UN chief’s view of Russian role peace talks
  Jun17

  Ukraine takes offense at UN chief’s view of Russian role peace talks

  Ukraine has reacted strongly to remarks by the UN secretary-general that appeared to praise Russia in settling the conflict in eastern Ukraine. The Kyiv envoy said Ban Ki-moon could not be a “provider of good offices.” …read more Source:...

  MASTAA WA UJERUMANI WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA POLAND
  Jun17

  MASTAA WA UJERUMANI WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA POLAND

  Ujerumani na Poland wamecheza kwa mara ya kwanza mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana baada ya mchezo wao wa Euro 2016 kumalizika huku kila timu ikiwa imeshindwa kupata bao katika kupambana kufuzu hatua ya mtoano utoka kwenye makundi. Timu zote sasa zinapointi 4 huku zikiwa zimesaliwa na mechi moja mkononi ambao unawezeza kuwahakikishia...

  #EURO 2016 MATCH PREVIEW: UFARANSA VS ALBANIA
  Jun15

  #EURO 2016 MATCH PREVIEW: UFARANSA VS ALBANIA

  Didier Deschamps atakuwa kwenye mtihani mwingine leo kuhakikisha timu yake inashinda dhidi ya Albania ili kujihakikishia tiketi ya kwenda hatua ya mtoano. Mchezo huu wa raundi ya pili wa kundi A, utapigwa kunako dimba la Stade Velodrome majira ya saa 4 usiku. Ufaransa ilishinda kwa mbinde mchezo wake kwanza dhidi ya Romania, shukrani za dhati...

  Russia and Ukraine free prisoners in latest swap
  Jun15

  Russia and Ukraine free prisoners in latest swap

  Two Ukrainians jailed in Russia have been released and sent home, in a prisoner swap between the two countries. Two alleged pro-Russian soldiers fighting in Ukraine were reported to have gone in the opposite direction. …read more Source:...

  NIONAVYO MIMI: CONTE MAN OF THE MATCH ITALY VS BELGIUM, MBINU ZAKE ZILIWAVURUGA HAZARD NA NDUGUZE
  Jun14

  NIONAVYO MIMI: CONTE MAN OF THE MATCH ITALY VS BELGIUM, MBINU ZAKE ZILIWAVURUGA HAZARD NA NDUGUZE

  Hadi sasa ushindi mnono kwenye mashindano ya Euro ni wa mabao 2-0, mabingwa mara 4 wa kombe la dunia Italy pamoja na Ujerumani ndiyo timu pekee ambazo zimepata ushindi huo dhidi ya mataifa ya Belgium na Ukraine. Anyways wacha nirejee kwenye mchezo wa jana usiku (Belgium vs Italy) ufundi wa kimbinu wa hali ya juu kutoka kwa Antonio Conte ulisaidia...

  #EURO 2016: MASHABIKI WA ENGLAND WAHUKUMIWA JELA UFARANSA
  Jun13

  #EURO 2016: MASHABIKI WA ENGLAND WAHUKUMIWA JELA UFARANSA

  Jumla ya mashabiki sita wa wa England wamefungwa kutokana na kuhusika katika vurugu zilizotokea jijini Marseille katika michezo ya awali ya Euro mwaka huu, wote wakifungiwa kwenda Ufaransa kwa miaka miwili. Watuhumiwa hao ambao wote walifika mahakamani wakati wa kesi hiyo iliyoendeshwa kwa saa tano, wamehukumiwa kifungo cha kati ya mwezi mmoja...

  VIBABU VYA IRELAND NA VIMBAUMBAU WA UTURUKI: TAKWIMU ZOTE KALI ZA EURO 2016 HIZI HAPA!
  Jun13

  VIBABU VYA IRELAND NA VIMBAUMBAU WA UTURUKI: TAKWIMU ZOTE KALI ZA EURO 2016 HIZI HAPA!

  Na Eusebius Paul Asalam Aleykum iwe ni salamu yangu ya upendo na heri njema kwa wataalamu wangu wote mnaopenda kupata habari na takwimu bomba za kimichezo. Msimu wa soka la kitabu na magoli yanayofanyiwa homework kabla ya mechi kuanza ndio umewadia. EURO20 16 ndio michuano pekee inayotupatia ladha halisi ya soka la kileo zaidi ya michuano yoyote...

  Pin It on Pinterest