: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Unamkumbuka Colina? Ndiye atakayechagua Mwamuzi wa Finali ya UEFA pale Kiev.
  May06

  Unamkumbuka Colina? Ndiye atakayechagua Mwamuzi wa Finali ya UEFA pale Kiev.

  UNAMKUMBUKA yule mwamuzi wa Italia mwenye upara, Pierluigi Collina? Sasa ameachana na filimbi na ndiye amekuwa bosi wa waamuzi wa Uefa. Na yeye ndiye ambaye atampanga mwamuzi wa pambano la fainali kati ya Liverpool na Real Madrid pale Kiev.Collina ndiye Mkuu wa Kamati ya Waamuzi ya Uefa na amekuwa akichunguza kila mechi kupitia kwa watu wake wa...

  Fainali ya ubingwa Ulaya: Je mashabiki wa Liverpool na Real Madrid watarajie nini Kiev?
  May04

  Fainali ya ubingwa Ulaya: Je mashabiki wa Liverpool na Real Madrid watarajie nini Kiev?

  Bingwa wa zamani wa uzani mzito wa masumbwi ndiye mwenyeji wa fainali hiyo itakayofanyika Mei 26 mjini Kiev. …read more Source:...

  Mohamed Salah: Sistahili kulinganishwa na Ronaldo
  May04

  Mohamed Salah: Sistahili kulinganishwa na Ronaldo

  Mshambuliaji wa majogoo wa jiji Liverpool Mohamed Salah Ghaly, amewataka mashabiki wa soka duniani, kutomshindanisha na Cristiano Ronaldo, kuelekea mchezo wa fainali wa ligi ya mabingwa barani Ulaya.Liverpool ilifanikiwa kukata tiketi ya kucheza fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo, licha ya kufungwa mabao manne kwa...

  Tetesi za Soka Barani Ulaya leo Jumanne 01/15
  May01

  Tetesi za Soka Barani Ulaya leo Jumanne 01/15

  Arsenal wameimarisha ofa yao kwa kiungo wa kati Jack Wilshere. Mkataba wa mchezaji huyo wa miaka 26 unafikia kikomo mwisho wa msimu na amekuwa akitafutwa na Wolves na Everton. (Mirror)Mchezaji anayesakwa sana na Liverpool Max Meyer hatachezea tena Schalke baada yake kufukuzwa kutoka mazoezini na kutoka kwenye kikosi cha kwanza. Meyer,...

  TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMATANO 18/04/2018
  Apr18

  TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMATANO 18/04/2018

  MourinhoMkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anataka kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Fred kutoka klabu ya Shakhtar Donetsk ili kuchukua mahala pake Paul Pogba. Manchester City pia inamnyatia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21.. (Mirror)Real Madrid inataka kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Pogba lakini rais Florentino Perez anasema...

  TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMANNE 17/4/2018
  Apr17

  TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMANNE 17/4/2018

  Kiungo wa kati wa Barcelona Andres Iniesta, 33, ataeleka katika klabu ya China mwisho wa msimu huu huku chupa bilioni mbili za mvinyo zikiorodheshwa katika makubaliano hayo.. (Marca – in Spanish)Liverpool haina fursa ya kumsajili kipa wa Roma na Brazil Alisson, 25, mwisho wa msimu huu kulingana na rais wa klabu hiyo James Pallotta. (Sky...

  Liverpool kwa Roma, kule Real, Bayern
  Apr14

  Liverpool kwa Roma, kule Real, Bayern

  Mechi ya fainali ya michuano hiyo inatazamiwa kufanyika Mei 26 mwaka huu katika uwanja wa NSC Olimpiyskiy jjini Kiev nchini Ukraine. …read more Source:...

  Fighting fake news on the front line
  Apr11

  Fighting fake news on the front line

  The Ukrainian journalist and colleagues weighed into the battle with a StopFake.org website after Russian soldiers entered Crimea under cover and their country appeared to become a testing lab for using bogus stories to manipulate public opinion. …read more Source:...

  African Migrants in Limbo After Israel Nixes Resettlement Plan
  Apr09

  African Migrants in Limbo After Israel Nixes Resettlement Plan

  Uncertainty reigns for African migrants in Israel a week after Prime Minister Benjamin Netanyahu abandoned a plan to resolve the country’s refugee crisis, just one day after announcing it. In the agreement with the United Nations’ refugee agency, half of Israel’s roughly 32,500 African migrants would have remained in the country...

  MAREKANI YAWAWEKEA VIKWAZO ‘MABILIONEA WA PUTIN’
  Apr09

  MAREKANI YAWAWEKEA VIKWAZO ‘MABILIONEA WA PUTIN’

  WASHINGTON, MAREKANI MAREKANI imewawekea mabilionea saba washirika wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hali inayozidi kufufua kile kinachoitwa Vita Baridi mpya. Waliolengwa ni pamoja na mfanyabiashara wa vyuma Oleg Deripaska, anayeelezwa kufanya kazi kwa niaba ya Serikali ya Urusi pamoja na Alexei Miller, mkurugenzi wa kampuni kubwa ya nishati...

  Pin It on Pinterest