: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Fundi Mkhitaryan, yupo kama hayupo Manchester
  Oct25

  Fundi Mkhitaryan, yupo kama hayupo Manchester

  NA ALLY KAMWE, UNAWEZA kujiuliza swali hili na ukakosa jibu. Jose Mourinho aliwaza nini kuwasajili wachezaji wabunifu kama Paul Pogba na Henrikh Mkhitaryan ikiwa bado ana mipango ya kucheza soka la kujilinda? Pengine msimu huu Manchester United imekusanya kikosi chenye wachezaji wabunifu zaidi lakini jambo la kushangaza ni vipi Mourinho anaanza...

  Mkhitaryan Kinachomtesa Old Trafford ni historia yake mwenyewe
  Oct22

  Mkhitaryan Kinachomtesa Old Trafford ni historia yake mwenyewe

  MANCHESTER, England MIONGONI mwa mastaa ambao usajili wao uliteka vichwa vya habari wakati wa majira ya kiangazi ni Henrikh Mkhitaryan. Akitokea Borussia Dormund ya Bunderliga, kiungo huyo wa pembeni alitua Old Trafforrd kwa ada inayotajwa kuwa ni zaidi ya pauni milioni 20. Kilichowashitua wengi si kiasi hicho kikubwa cha fedha, bali kipaji cha...

  Little optimism after Normandy format meeting
  Oct20

  Little optimism after Normandy format meeting

  Skepticism, renewed accusations and a little gloating. Reactions from Kyiv and Moscow after the Ukraine crisis meeting in Berlin offer little hope for a breakthrough. …read more Source:...

  Kuna mashaka ya kulikosa pambano la AJ na Klitschko
  Oct20

  Kuna mashaka ya kulikosa pambano la AJ na Klitschko

  LONDON, England LILE pambano lililotangazwa kufanyika kati ya bondia Anthony Joshua ‘AJ’ na Wladimir Klitschko, lipo kwenye hatari ya kutofanyika kama ilivyotajwa Desemba mwaka huu kutokana na makubaliano kutofikiwa kwenye mazungumzo. Kila kitu kilionekana kwenda sawa mara baada ya Tyson Fury kuachia mikanda yake ya WBO na WBA wiki...

  Sababu kuu zinazoweza kuibua vita ya tatu ya dunia
  Oct20

  Sababu kuu zinazoweza kuibua vita ya tatu ya dunia

  VITA ya dunia siyo jambo geni miongoni mwetu kwa kuwa hii ni aina ya vita inayojumuisha mataifa mengi duniani kwa wakati mmoja, hasa yale mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi. Hadi sasa tumekwisha shuhudia vita kuu mbili za dunia, japo wengi tumeshuhudia kwa kuhadithiwa au kusoma kwenye vitabu. Vita ya kwanza ni ile iliyoanza Julai...

  German Chancellor Merkel receives Putin, Poroshenko and Hollande for Ukraine talks
  Oct19

  German Chancellor Merkel receives Putin, Poroshenko and Hollande for Ukraine talks

  Leaders from Germany, Russia, Ukraine and France have gathered in Berlin for talks on reviving the stalled peace process in eastern Ukraine. The leaders are also expected to address Russia’s role in the Syria conflict. …read more Source:...

  Russian President Putin to travel to Berlin for talks over Ukraine crisis
  Oct18

  Russian President Putin to travel to Berlin for talks over Ukraine crisis

  German Chancellor Angela Merkel is due to convene the leaders of Russia, Ukraine and France in Berlin to talk about the Ukraine conflict. The summit will address the implementation of the Minsk Accords. …read more Source:...

  Joshua na Klitschko wakubaliana kuzipiga
  Oct16

  Joshua na Klitschko wakubaliana kuzipiga

  Bondia wa Uingereza Anthony Joshua na bondia wa Ukraine Wladmir Klitschko wamekubali kupigana huku tangazo la pigano hilo likitarajiwa kufanywa katika siku chache zijaz …read more Source:...

  Russia moves nuclear missiles onto NATO’s doorstep
  Oct08

  Russia moves nuclear missiles onto NATO’s doorstep

  Moscow has said that the Iskander-M missiles were transported to Kaliningrad for a military drill. Lithuania’s Foreign Minister has said the move seeks to pressure the West into making concessions over Syria and Ukraine. …read more Source:...

  BALOTELLI, SHETANI WA LIVERPOOL, MALAIKA WA NICE
  Oct08

  BALOTELLI, SHETANI WA LIVERPOOL, MALAIKA WA NICE

  NA HALID MTUMBUKA Palermo ni moja kati ya sehemu zinazovutia mboni za macho ya mwanadamu yeyote yule anayependa utalii. Sehemu hii ipo nchini Italia na sifa zake ni pamoja na utamaduni wake, majengo yake, sehemu za starehe na inatajwa kwamba sanaa kama muziki ni moja kati ya viburudisho vya watu waishio sehemu hiyo. Ni moja kati ya sehemu...

  Pin It on Pinterest