: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Dutch city celebrates return of five stolen masterpieces
  Oct08

  Dutch city celebrates return of five stolen masterpieces

  Five Golden Age masterpieces recovered from a “criminal gang” in Ukraine have returned to the Dutch city of Hoorn. The paintings were among the 24 works of art stolen from the city’s museum in 2005. …read more Source:...

  Wanasayansi wa Urusi wasema Crimea inahama na ‘kuelekea Urusi’
  Oct06

  Wanasayansi wa Urusi wasema Crimea inahama na ‘kuelekea Urusi’

  Wanasayansi kutoka nchini Urusi wanasema eneo la Crimea ambalo limekuwa likizozaniwa linasonga kila mwaka kuelekea Urusi. …read more Source:...

  Arsene Wenger aikataa timu ya taifa England
  Sep30

  Arsene Wenger aikataa timu ya taifa England

  KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger LONDON, ENGLAND KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kutaka kuifundisha timu ya taifa ya England (Three Lions), akichukua nafasi ya Sam Allardyce, ambaye amefungashiwa virago. Chama cha Soka nchini England (FA), kwa sasa kinahangaika kutafuta kocha ambaye atachukua...

  Babyn Yar: Germany remembers victims
  Sep29

  Babyn Yar: Germany remembers victims

  President Joachim Gauck has visited Babyn Yar, a 1941 Nazi massacre site in Ukraine, saying generations later Germany will continue owning up to its past. More than 33,000 Jews were murdered in a ravine outside Kyiv. …read more Source:...

  Nafasi ya Urusi kuhusu siasa za Mashariki ya Kati
  Sep29

  Nafasi ya Urusi kuhusu siasa za Mashariki ya Kati

  MASHARIKI ya kati ni eneo ambalo limekuwa likikumbwa na migogoro ya kisiasa inayofanya vyombo vya habari sehemu mbalimbali duniani kutokukosa cha kuripoti kila uchao. Lakini habari ambayo imekuwa haikauki katika masikio yetu kuhusu mashariki ya kati ni mapigano, hususani tangu kuibuka kwa matukio ya kigaidi mwanzoni mwaka 2000 na kuendelea ambapo...

  Babyn Yar: Ukraine’s dark anniversary
  Sep29

  Babyn Yar: Ukraine’s dark anniversary

  Ukrainian officials have organized several events to mark the anniversary of the Babyn Yar massacres. Seventy-five years ago, Nazi forces rounded up and shot around 34,000 Jewish residents of Kyiv. David Stern reports. …read more Source:...

  Fury aahirisha tena pambano; ‘AJ kupewa Wladimir’
  Sep26

  Fury aahirisha tena pambano; ‘AJ kupewa Wladimir’

  MANCHESTER, England Lakini pambano hilo limeahirishwa kwa mara ya pili na kusababisha kuwepo na shaka kwamba huenda lisiwepo tena. Huenda Hearn akasimamisha pambano la bingwa wa mkanda wa IBF, Joshua ambalo lilitarajiwa kuchezwa Novemba 26 mwaka huu mjini Manchester dhidi ya Kubrat Pulev, Joseph Parker ama Hughie Fury. Bosi huyo wa Kampuni ya...

  Choosing the next UN chief is ‘intensely political’
  Sep22

  Choosing the next UN chief is ‘intensely political’

  Deciding who will lead the United Nations after Ban Ki-moon is a complex and convoluted process. Mats Berdal tells DW that the conflicts in Syria and Ukraine mean politics will likely play a big role in the decision. …read more Source:...

  Ukraine and Russian-backed rebels agree to pullback of troops
  Sep22

  Ukraine and Russian-backed rebels agree to pullback of troops

  The latest troop withdrawal is less elaborate than last year’s cease fire, which broke down before it began. German Foreign Minister Frank-Walter Steinmeier warns there is no guarantee of success this time, either. …read more Source:...

  UEFA imeanza na moto
  Sep16

  UEFA imeanza na moto

  MADRID, Hispania LIGI ya Mabingwa Ulaya msimu huu imeanza kutimua vumbi wiki hii, huku miamba mbalimbali ya bara hilo la Ulaya ikitoa dozi za hali ya juu. Barcelona walitoa kipigo cha mabao 7-0 kwa Celtic, huku nyota wao, Lionel Messi, akipiga ‘hat-trick’ kwenye mechi ya kwanza ya michuano hiyo iliyochezwa juzi Jumanne. Baada ya...

  Pin It on Pinterest