: :inin Kyiv (EET)

Section: Tanzania

VAN DIJK: NIACHIENI RONALDO J’MOSI
May23

VAN DIJK: NIACHIENI RONALDO J’MOSI

MERSEYSIDE, England BEKI kisiki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amewatoa hofu mashabiki wa Liverpool wanaomuota Cristiano Ronaldo kuelekea mtanange wa fainali, akiwaambia wasiwaze, kwani ‘atadili’ naye. Liver na mabingwa hao watetezi, Madrid, watamalizana Jumamosi ya wiki hii, mchezo utakaochezwa mjini Kiev, Ukraine, ambao utaamua...

Several killed amid surge in violence in Ukraine
May22

Several killed amid surge in violence in Ukraine

Eastern Ukraine has experienced what’s seen as its worst surge in violence so far this year. Both Kyiv and separatist factions blamed each other for killing civilians and soldiers. …read more Source:...

Germany’s Angela Merkel meets Russia’s Vladimir Putin
May18

Germany’s Angela Merkel meets Russia’s Vladimir Putin

The two leaders discussed Syria, the conflict in Ukraine, the Nord Stream 2 gas pipeline, the Iran nuclear deal. Merkel was critical on press and cultural freedom, and a ceasefire breach in Ukraine. …read more Source:...

Poland busts Russian ‘hybrid warfare’ ring
May18

Poland busts Russian ‘hybrid warfare’ ring

The group was allegedly attempting to exacerbate tensions with Ukraine and promote the Kremlin’s interests. Several Western nations have accused Russia of similar tactics. …read more Source:...

Can Germany broker a Russia-Ukraine deal on Nord Stream 2?
May16

Can Germany broker a Russia-Ukraine deal on Nord Stream 2?

Berlin and Moscow both support building the controversial gas pipeline, but Kyiv is opposed. Economy minister Peter Altmaier is commuting between capitals to find a compromise. Miodrag Soric reports from Moscow. …read more Source:...

Ukraine raids Kyiv office of Russian news agency
May16

Ukraine raids Kyiv office of Russian news agency

Ukraine’s state security agency has raided the offices of a Russian state-owned media outlet in Kyiv. Security agents also arrested a Ukrainian born Russian journalist, accusing him of treason. …read more Source:...

Refa huyu ndiye Atakayechezesha Mchezo wa Fianali UEFA Kati ya Madrid na Liverpool
May07

Refa huyu ndiye Atakayechezesha Mchezo wa Fianali UEFA Kati ya Madrid na Liverpool

Mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani kwa sasa ni fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ambayo itawakutanisha Real Madrid na Liverpool Jumamosi ya Mei 26 mwaka huu.Tayari kamati ya waamuzi ya UEFA imemchagua mwamuzi wa kati ambaye anachezesha mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa NSC Olimpiyskiy, Kyiv kwa kusimamia...

Unamkumbuka Colina? Ndiye atakayechagua Mwamuzi wa Finali ya UEFA pale Kiev.
May06

Unamkumbuka Colina? Ndiye atakayechagua Mwamuzi wa Finali ya UEFA pale Kiev.

UNAMKUMBUKA yule mwamuzi wa Italia mwenye upara, Pierluigi Collina? Sasa ameachana na filimbi na ndiye amekuwa bosi wa waamuzi wa Uefa. Na yeye ndiye ambaye atampanga mwamuzi wa pambano la fainali kati ya Liverpool na Real Madrid pale Kiev.Collina ndiye Mkuu wa Kamati ya Waamuzi ya Uefa na amekuwa akichunguza kila mechi kupitia kwa watu wake wa...

Fainali ya ubingwa Ulaya: Je mashabiki wa Liverpool na Real Madrid watarajie nini Kiev?
May04

Fainali ya ubingwa Ulaya: Je mashabiki wa Liverpool na Real Madrid watarajie nini Kiev?

Bingwa wa zamani wa uzani mzito wa masumbwi ndiye mwenyeji wa fainali hiyo itakayofanyika Mei 26 mjini Kiev. …read more Source:...

Mohamed Salah: Sistahili kulinganishwa na Ronaldo
May04

Mohamed Salah: Sistahili kulinganishwa na Ronaldo

Mshambuliaji wa majogoo wa jiji Liverpool Mohamed Salah Ghaly, amewataka mashabiki wa soka duniani, kutomshindanisha na Cristiano Ronaldo, kuelekea mchezo wa fainali wa ligi ya mabingwa barani Ulaya.Liverpool ilifanikiwa kukata tiketi ya kucheza fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo, licha ya kufungwa mabao manne kwa...

Pin It on Pinterest